Write For Us

Getrude Clement akihutubia Baraza Kuu la UM

E-Commerce Solutions SEO Solutions Marketing Solutions
258 Views
Published
Msichana Getrude Clement kutoka Mwanza Tanzania akihutubia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya kutia saini mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi, Aprili 22, 2016. Bi. Clement amewakilisha vijana wote ulimwenguni.
Category
Success
Sign in or sign up to post comments.
Be the first to comment